Wafilipi 4:14
Print
Lakini mlifanya vyema mliposhiriki nami katika kipindi changu kigumu.
Hata hivyo, mlifanya vizuri kunisaidia kwa kushirikiana nami katika taabu zangu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica